Kwa Njia rahisi nayofahamu ni kwamba SYNCHRONIZE all accounts ulizonazo
kwa facebook ili ziingie kwa simu yako, hapo utafanya kuwa rahisi kujua
emails, namba za simu, na data zingine muhimu juu ya account mbali mbali
pamoja na yako.
Njia kwa Kutumia Computer huwa kuna OUTSYNC lakini hyo bado mwisho wa siku itakuhitaji simu yako iwe connected into accounts...
No comments:
Post a Comment