Nategemea mko poa, Leo nimeona Nitimize ile ahadi ya somo letu juu ya
kufanya access ya free internet service....kwa watu wanaotumia mtandao
wa "KAZI NI KWAKO" ndo habari hii itawafaa zaidi, Hili somo litahusisha
utumizi wa softwares kama PD-PROXY, hii ni moja ya system nzuri sana
ambazo zinawasaidia waliona tatizo la kupata access ya internet.
Tuanze kwa kujua hizi PROXY ndio nini???
Kwa maana rahisi PROXY ni software ambayo inahusika kama intermediate
HUB ambayo kazi yake ni ku PROCESS informations zinazotoka kwa server,
hii huweza kuwa FILE, ama WEB info....kwa waliowahi kutumia FILEZILLA
wananielewa nasema nini hapa
Kwa mtu anayetumia PD-PROXY ama PROXY ni Rahisi kuficha IDENTITY yake
kwa maana yeye hutumia server information details kwa hiyo user hupewa
PROXIES internet protocals ....kwa maana rahisi mtu yeyote hawezi akajua
uko wapi hasa (locality)...Hii pia hupendwa kutumiwa na HACKERS
wanaopenda kuvamia mitandao na kuchukua data mbali mbali.
Na pia Proxy huwezesha kutumia internet Free kwa kuwa Server ndio
inayoact kama NODE kwa kutoa response kwa request ambazo zinakuwa
zinatumwa kutoka kwa computer, ndio maana tunasema internet free...hapa
tunawatumia hawa access provider ku connect na server yenyewe huendelea
kuifanya connection moja kwa moja wa server.
TUNAANZA KAMA IFUATAVYO:
Unapaswa kuwa na software inaitwa PD-PROXY (iko mwisho wa maelekezo
haya) ukishakuwa na hii software unachotakiwa kufanya EXTRACT moja kwa
moja na iweke sehemu ya computer yako (drive D ama E ama F kadri
utakavyoona wewe....Na hakikisha uweke sehemu ambayo hautaMOVE folder
....kama inavyoonekana hapa
Baada ya hapo bonyeza file imeandikwa PD-PROXY.exe na baada ya hapo itaLAUNCH...Sasa hapo ukishafanikisha kinachofuata ni kwenye PD_PROXY SIGN UP
Nenda ukaji REGISTER kwa mtandao wa PD-PROXY utapata Username na
Password, na ukishazipata hizo ndo unatumia kuingiza ile sehemu ya
USERNAME na PASSWORD kwenye software ya PD-PROXY kama inavyoonekana hapa
KAMA UMESHAREGISTER SUCCESSFULLY
Unaingiza Username yako na Password na Baada ya hapo unachagua "DEMO SERVER" na hii hukupa wewe free 100mb na baada ya hapo ndo tunaingia upande wa connections
NAMNA YA KUFANYA CONNECTIONS
Unapotaka kufanya connections hakikisha uwe ushaconnect modem yako iliyo
na LINE ya KAZI NI KWAKO na baada ya hapo CONNECT....ikishakuwa
connected ndo sasa u CONNECT na PD-PROXY software na hapo sasa utasubiri
mpaka iwe connected na yenyewe.......kama inavyoonekana hapa
Hapo nimeconnect tu bila ku load chochote kwa MTANDAO....
Kwa wale ambao wanataka PREMIUM.....ambao watakuwa na uwezo wa kuCONNECT
kwa server yoyote iliyo kwenye software hii.....Kama uko vizuri unaweza
kununua ONLINE Huduma hii kwa PD-PROXY website wanamaelekezo
pale....Kama Ungependa upate huduma ya internet free Mwezi Mzima ipate
kwa Sh. 12,000/= Tu.
Download PD-PROXY here
PD-PROXY
No comments:
Post a Comment