Friday, 26 September 2014

KNOWLEDGE ON MICROSOFT.NET FRAME WORK

net_framework.jpg


Kuna mda unaweza kuwa una install software ukajikuta unapata Error inayosema .Net Framework Needs to be installed au kama hii uionayo katika picha hapa.

IC628513.png


Muda mwingine kuna baadhi ya software unakuta huwezi zitumia kabisaa bila kuwa na Microsoft .Net katika OS yako.
Suala hili limenipelekea kuwaza na kisha kufanya utafiti kidogo juu ya hiki kitu kinaitwa Microsoft .Net Framework

Microsoft .NET Framework ni nini?
Microsoft .NET Framework ni software maalum abayo huwa inakuwa installed katika OS zoote zilizowahi tengenezwa na microsoft pekee ili kuwezesha baadhi ya software kufanya kazi sawasawa.

Unapo install .NET Framework katika computer yako huitengenezea mazingira mazuri ya software zingine kutumia vizuri resourses za kwenye computer kwa haraka na mpangilio unaoeleweka kwa mfano run time ya software katika OS husika.

Leo nili download na kuinstall .NET Framework kwa computer yangu hivyo nikaona si mbaya nikikupatia na wewe rafki yangu
Download hapa .NET Framework 4.5
Kama una maelezo ya ziada pia Karibu tujuzane kwa comments hapa chini

No comments:

Post a Comment