Thursday, 25 September 2014

INFORMATION TECHNOLOGY

Catechist Michael Kway September 19 at 9:51pm Mambo vp Wadau, Nilipenda kushare nanyi kitu kuhusu HACKING. :unsure: :unsure: :unsure: Hacking ni Kosa kisheria, ni WIZI/UJAMBAZI ama kiustadi tunasema ni UHALIFU wa MTANDAONI, Njia hizi zinahitaji mtu mwenye uwezo wa kujua CODE na DE-cryption Skills. Huhitaji mda mwingi na kufuatilia attempts zote. PHISHING HACKING TECHNIQUE Kwa hii njia hacker anachukua the same SOURCE CODE of the site na kutengeneza another webpage kama ile alochukua source code na baada ya hapo anaweza ku attempt hacking kwa kum-PROMPT user a-LOGIN kwa site na hapo ndo user anapoingiza Username/Email and Password Kwa hiyo njia watu wengi sana wamekuwa hacked akaunt zao za facebook, emails na hata ma BLOGGER wengi wanakuwa HACKED kwa njia hizi. Phishing website unakuwa kama umeitoa COPY na hapo ndo mtu hujua kuwa it is the same website kumbe hiyo ni FAKE webpage. TUWE MAKINI NA HILI CROSS SITE SCRIPTING (XSS) Maana rahisi ya XSS ni kwamba HACKER anaweza kuchunguza kama SITE anayotaka kuHACK inaWEAKNESS (vulnerability) katika upangaji wa CODES, SCRIPTS na FILES. Akishagundua kuna web application scripts problem basi anawezafanya HACKING ATTEMPT kwa kuingiza CODE zingine kupitia CLIENT software zake kwa site hiyo. Kwa Njia hii HACKER anaweza kwa mfano anaweza kugundua kuna XSS Vulnerabilty kwa YAHOO, basi yeye anachoweza ni ku-inject malicious script kwa YAHOO na hivyo wakati ukiwa UnaRUN website ya YAHOO zile Malware Scripts anazoweza inject ndo zinazoRUN badala ya Site yenyewe. Matokeo yake anaku PROMPT uingize password ambazo ni halali kwa wewe ku LOGIN kwa YAHOO lakini sasa anaSTORE SECRETLY passwords na Login Credentials kwa kutumia COOKIE na hapo baadae anaweza kuLOGIN kama wewe na kupata ACCESS. Hii mara nyingi hupenda kutumia kwa MALIPO ya ONLINE mambo ya PAYPAL na zinginezo, Mitandao ya Kijamii, na pia kwa Email Accounts zozote zile hata za CUSTOM SERVER. ANGALIZO Kama unadeal sana na malipo ya vitu ONLINE kuwa makini ya njia hii wanaibiwa sana watu, makampuni na mashirika kwa kutofahamu MALWARE hawa wanavyofanya. Hakikisha browser yako haina addons usizo zifahamu, hakuna virus-malware kwa computer yako. Na sasa ni muda wa kutumia INTERNET SECURITY VERSION OF ANTISPYWARE/ANTIWARE/ANTIVIRUS. Kama Topic Hii imekusaidia kwa namna yoyote ile THANK

2 comments:

  1. I just wanted to say thank you for sharing a great information and useful. it really necessary and timely for me at this time. I've read a lot of blogs and visit but they made me feel boring. Your article made me feel strange and fascinating it attracted me. I wanted to share this information with my friends on the social network facebook.!

    IOT Device

    ReplyDelete
  2. Great post. I was once checking constantly this weblog and I'm impressed! Extremely useful information specially the closing part. I maintain such information much. I was once seeking this specific information for a very long time. Many thanks and best of luck.


    Mbus gateway

    ReplyDelete