Tuesday, 4 November 2014

JIFUNZE HAPA PIA DOWNLOAD SOFTWARE HAPA ZA KU-FLASH MODEMS ZA HUAWEI

Habari ndugu zangu wana MICHANEWZ.BLOGSPOT.COM hapa nimepitia pitia mahara sasa nimeona nije ni share na nyinyi jinsi ya kusambalatisha hili tatizo la hii modem ingawa ni modem ya zamani kidogo lakini nafikili kuna baadhi bado wanasumbuka kuisababishia mambo

modem yenyewe ni kama inavyoonekana hapa



Sasa step zake ningependa ndo zije kwa hapa waheshimiwa

How to Unlock Huawei e173 Modem

1.Download hizi file then maelezo ya kuzitumia yanafuata

a)Download Huawei E173 Firmware
b) Universal Master Code.exe.

2. Jinsi ya ku unlock sasa ukishakua tayari ku download files hapo juu basi Fungua modem yako na copy mahara pazuri namba 15 ambazo zinasomeka katika modem yako kama IMEI ukiwa tayari chomeka modemu yako ikiwa na laini ile ile ambayo modem yako ina sapoti kisha chomeka sasa hakikisha modem ime detect na umefunga dashboard ya mtandao wako
3.Sasa hatua inayofuata unatakiwa ufungue kitu inaitwa Universal Master Code.exe ambayo umekwisha download hapo juu sasa kinachotakiwa ni fanya kama picha inavyoonesha hapa chini
univer.jpg


4.Chukua Flash code na zikopi mahara pazuri kwani zitatumika baadae
5.Sasa hapa ndo kazi yenyewe mkuu wangu hakikisha modem yako umechomeka na ime detect na kufunga dashboard kama nilivyoeleza hatua namba 2..Sasa run kitu hii E173Update_11.126.85.00.114_B427.exe/Huawei E173 Firmware ambayo umekwisha downlod hapo mwanzo. fata maelekezo hapo then ita search modem yako na itapata then endelea na maelekzo yake mpaka utafikia sehemu unaombwa password sasa hapa weka zile FLASH CODE ulizocopy kutoka Universal Master Code.exe sasa piga next na subiri kitu imalize and then your data card software upgrade will be done successfully.

7.Sasa ukimaliza yote hiyo sasa kinachofata wewe ni download hii kitu Huawei Mobile Partner Software
picha yake ni hii hapa


8.Sasa fungua hiyo Huawei Mobile Partner Software na endelea na hatua zake na ikiomba password rudia kuweka tena FLASH CODE ulizocopy tena
Nadhani sasa imemaliza vema basi chomoa modem yako na weka upya then iki detect line tofauti nenda ka create network mpya na anza kura raha sasa mtu wangu. au tizama hapa namna ya ku create profile mpya

capture-20140421-135956.png


Natumaini somo limeeleweka kama kuna sehemu haieleweki basi usisite niulize ndugu yangu

6 comments: