WANA BLOG YANGU chini hapo nimetupia pdf inaonyesha step to step ya kuvunja
modem e173u-1, mzigo ulikuwa wapiga kzi kama kawa bt nw days unaanza
vizur bt unapofika kwenye kipengele cha kutumia HUAWEI FLASHER hapo ndo
mzigo waanza zingua cz this version used was "Huawei flasher v1.1" so
now days ukiitumia inashinda connect na kuleta ujumbe huu "can connect
to server...bye bye" so wadau mwenye maujuz ya kuboresha ama njia mpya
ya kuvunja akaribie uwanjan atujuze.
No comments:
Post a Comment