Habari ndugu zangu wana MICHANEWZ.BLOGSPOT.COM hapa nimepitia pitia mahara sasa nimeona
nije ni share na nyinyi jinsi ya kusambalatisha hili tatizo la hii
modem ingawa ni modem ya zamani kidogo lakini nafikili kuna baadhi bado
wanasumbuka kuisababishia mambo
modem yenyewe ni kama inavyoonekana hapa
Sasa step zake ningependa ndo zije kwa hapa waheshimiwa
How to Unlock Huawei e173 Modem
1.Download hizi file then maelezo ya kuzitumia yanafuata
a)Download Huawei E173 Firmware
b) Universal Master Code.exe.
2. Jinsi ya ku unlock sasa ukishakua tayari ku download files hapo juu
basi Fungua modem yako na copy mahara pazuri namba 15 ambazo zinasomeka
katika modem yako kama IMEI ukiwa tayari chomeka modemu yako
ikiwa na laini ile ile ambayo modem yako ina sapoti kisha chomeka sasa
hakikisha modem ime detect na umefunga dashboard ya mtandao wako
3.Sasa hatua inayofuata unatakiwa ufungue kitu inaitwa Universal Master Code.exe ambayo umekwisha download hapo juu sasa kinachotakiwa ni fanya kama picha inavyoonesha hapa chini
4.Chukua Flash code na zikopi mahara pazuri kwani zitatumika baadae
5.Sasa hapa ndo kazi yenyewe mkuu wangu hakikisha modem yako umechomeka
na ime detect na kufunga dashboard kama nilivyoeleza hatua namba 2..Sasa
run kitu hii E173Update_11.126.85.00.114_B427.exe/Huawei E173 Firmware
ambayo umekwisha downlod hapo mwanzo. fata maelekezo hapo then ita
search modem yako na itapata then endelea na maelekzo yake mpaka
utafikia sehemu unaombwa password sasa hapa weka zile FLASH CODE ulizocopy kutoka Universal Master Code.exe sasa piga next na subiri kitu imalize and then your data card software upgrade will be done successfully.
7.Sasa ukimaliza yote hiyo sasa kinachofata wewe ni download hii kitu Huawei Mobile Partner Software
picha yake ni hii hapa
8.Sasa fungua hiyo Huawei Mobile Partner Software na endelea na hatua zake na ikiomba password rudia kuweka tena FLASH CODE ulizocopy tena
Nadhani sasa imemaliza vema basi chomoa modem yako na weka upya then iki
detect line tofauti nenda ka create network mpya na anza kura raha sasa
mtu wangu. au tizama hapa namna ya ku create profile mpya
Natumaini somo limeeleweka kama kuna sehemu haieleweki basi usisite niulize ndugu yangu
Tuesday, 4 November 2014
LERN HOW TO RESTORE ANRID PHONE PARTTERN
Steps to recover lock pattern of any android device phone
Switch off the phone.
Now hold this buttons all together at the same time “Volume up + Home Key + Power Button” until the phone boots (if you device doesn’t have a home button just hold together volume up key and power key)
Now a screen like DOS will come up with different options
Use the volume key to move up and down then scroll down to “Restore Factory Defaults” or “Delete all User Data” depending on which is on your device.
After clicking on the settings above, now scroll down to “Reboot System Now ” and wait for your phone to reboot.
Now your phone will reboot and all lock pattern removed.
If you found this topic useful, comment/click THANK YOU button below..
Monday, 3 November 2014
BURUDIKA KWA SOFTWARE ZA BURE UMU
WANA BLOG YANGU chini hapo nimetupia pdf inaonyesha step to step ya kuvunja
modem e173u-1, mzigo ulikuwa wapiga kzi kama kawa bt nw days unaanza
vizur bt unapofika kwenye kipengele cha kutumia HUAWEI FLASHER hapo ndo
mzigo waanza zingua cz this version used was "Huawei flasher v1.1" so
now days ukiitumia inashinda connect na kuleta ujumbe huu "can connect
to server...bye bye" so wadau mwenye maujuz ya kuboresha ama njia mpya
ya kuvunja akaribie uwanjan atujuze.
Subscribe to:
Posts (Atom)