Monday, 9 December 2013

MICHAELKWAYU.BLOGSPOT.COM: HABARI MPYA KATIKA BLOG YANGU MPYA

LEO NI 9/12 AMBAPO TANZANIA TULIJIPATIA UHURU WETU 1961 KUTOKA KWENYE KOLON LA WAINGEREZA LKN NI BADO KUNA BAADHI YA SEKTA HAZIFANYI VIZURI KWA NYAKATI MBALI MBALI KTK SERERKAL YETU YA TZ HIVO BASI NI JUKUMU LA WEWE MTANZANIA KUJITAHIDI KUTOA SAUTI YAKO KTK MITANDAO YA KIJAMII KITU GAN KIFANYIKE.

No comments:

Post a Comment