Thursday, 25 September 2014

COMPUTER HARDWARE

I took a fan out of a server from work, This fan plugs in to the wall and has a CFM of 610, Its made entirely out of metal and is very heavy, I took a chocolate box and sealed it with Duck tape then cut a hole in it the size of my laptop's breathing holes, here is some pictures What do you guys think?
IMG_1691.jpg

IMG_1692.jpg

IMG_1693.jpg


TEMPERATURE, Benchmarking my CPU under a heavy load it will never go past 60*C :D :D :D :D

temp1.png


benchmark.png
Go ahead ask me any thing, Im a genius you know :D

COMPUTER HARDWARE

Any fool can write code that a computer can understand. Good programmers write code that humans can understand.
Last Edit: 2 weeks 3 days ago by Man Pierre. Report to moderator

FAIDA NA HASARA ZA KU UPDATE BIOS: 2 weeks 3 days ago #2988

  • Man Pierre
  • Man Pierre's Avatar
  • OFFLINE
  • Administrator
  • Posts: 621
  • Thank you received: 290
Kama usemavyo BIOS ndio BASIC Input Output System, Ndio system pekee inayoweza ifanya computer iwake ikiwa inajua kitu gani kipo, kitu gani kinatatizo, na huwa inatoa information kwa kile ambacho inakiona hakiko sawa.

BIOS ni ile system ambayo inakagua computer kabla ya kuwaka na kuanza kufanya kazi, BIOS ndio inaangalia RAM ipo, HDD ipo, Kuna Flash ama CD kwa ROM/PORTS. Ndio ile system ambayo tunaweza iita READ ONLY MEMORY PEKEE ambayo inaweza kutunza taarifa chache sana.



KWANI KU-UPDATE BIOS NDO KUFANYAJE? NDO KUNA KUAJE KUAJE, SABABU? ULAZIMA??

Ni Maswali ambayo huweza kujiuliza wakati ukisikia watu wanataka update BIOS. BIOS ni kile ki(FIRMWARE) kilichotengenezwa kwa ajili ya kutambua kila kitu ndani na nje kwa maana ya OUTPUT DEVICES kwa computer.

Kina uwezo wa kujua drivers zote ziko sawa, kina uwezo wa kutambua Network Interface Card ipo ila haijawa plugged in fresh, inaweza jua kuwa kuna FAN lakini computer bado inachemka (Overheating).

Ina uwezo wa kutambua kuwa kuna kuna POWER FAILURE kwa namna yoyote ile iwe Charger haiingizi Moto unaotakiwa, ama battery life iko LIMITED.



Unaweza sema si sawa kama umetazama wakati Computer ina operate, Hapa nazungumzia BIOS wakati unapowasha tu mashine ama maandalizi ya kuwasha computer yako na ikaanza kuwaka.

KU-UPDATE BIOS

ku-UPDATE BIOS maana yake ni kufanya mabadiliko ya baadhi ya functionalities za BIOS na CHIP zake. Yawezekana ku-update BIOS ukafanya kwa njia tofauti tofauti kutegemeana na BIOS yako.

Unaweza update BIOS kwa kubadili BIOS CHIP, Hii sasa Hutegemeana na kama BIOS Chip zako ziko MOUNTED kwa Motherboard moja kwa moja na manufacturer. Ukibadili BIOS chip basi hakikisha unachukua ile yenye uwezo wa kuendana na uwezo wa motherboard yako.


Unaweza ku-update BIOS kwa Kutumia BIOS UPDATE TOOLS hizi tools mara nyingi huwa zinatolewa na Manufacturers. So hakikisha unajua manufacturer wako ni nani? na website yake kwa ajili ya kupata updates kwa ajili ya aina ya Computer yako.

NAMJUAJE MANUFACTURER WANGU na AINA YA BIOS YANGU

Unaweza mjua manufacturer mara nyingi huweza andikwa kwa BIOS yenyewe, ama hata kwa User Manual ya Motherboard ya computer yako, hii inategemeana kwa wale wanaonunua computers kutoka kwa manufacturers huweza pata. ila kwa wewe tazama hapa

Fungua msinfo32 kwenye search box ndani ya computer yako alafu utaona BIOS yako kama hivi


Bios.jpg


Baada ya kugundua hayo basi zoezi la kutafuta update kwa BIOS yako linaweza endelea.


TARATIBU ZA KU-UPDATE

Wakati ukitaka ku-update BIOS tafadhali HAKIKISHA UMEJIKAMILISHA KWA HIVI VITU:

1. Hakikisha unapata UPDATE SOFTWARE ya BIOS Moja kwa Moja toka kwa Manufacturer wako




2. Hakikisha ukitaka ku-update una UHAKIKA WA CHARGE kwa computer yako (POWER)

3. Hakikisha Process ya ku-update haiwi interrupted by ANY PROGRAM

4. Hakikisha unajua unachokifanya, Hii Process huweza ifanya computer iFLASH wakati wote wa ku update na zingine huweza kuzima kabisa moja kwa moja kama tu inachukua kitu chenye uwezo zaidi na motherboard.

5. Hakikisha umefanya BACKUP ya BIOS FIRMWARE iliyopo ili incase mambo ya yamekwenda visivyo urudie backp iliyopo




LENGO LA KU-UPDATE BIOS LA MSINGI KABISA LINAPASWA KUWA LIPI???

Lengo kubwa la BIOS Update kwa computer yako, Nashauri liwe Ndani ya haya:

1. Umebadili baadhi ya components za computer yako na computer inashindwa kufanya kazi vizuri, mfano Processor, CMOS Battery, Mounted Ports and Chips

2. Umeongeza Computer Drivers na Baadhi ya hardware parts mfano Sound Card, Video Card, Controller, Bus Controller, Network Chips and ROM Chips

3. Endapo Computer yako ina tatizo la BIOS labda mfano ime CORRUPT, ama iko OUTDATED na Manufacturers wakati unanunua walishauri u-update BIOS yako.


FAIDA ZA Ku-UPDATE BIOS NI ZIPI ???

Kwanza hufanya computer kuwa na uwezo wa kuwaka kirahisi na kuifanya computer iweze kitambua components zake kirahisi zaidi, (japo wepesi wa computer hutegemeana na RAM, Processor na other factors-virus, overheating etc.

Pili computer kuweza kutambua any INPUT/OUTPUT Devices kwa haraka zaidi, yaani huwezesha computer Operating System kuweza kutambua kwa haraka devices zinazokuwa inserted. Hii Pia husaidia katika drivers instalations kwa baadhi ya devices mfano Printer, Projectors, Other Devices E.g Camera


HASARA ZA KU-UPDATE

Napenda fananisha BIOS na Kati Kati ua Usingizi MZITO na KUAMKA (pale kati kati sasa panapounganisha). Ku update BIOS kunaweza ifanya computer yako ishindwe wakati mwngine kutambua hata vitu vidogo kabisa kama USB PENDRIVE(Flash)

Ikitokea tatizo lolote wakti wa ku-update BIOS yaweza kufanya BIOS yako kuCORRUPT na hvyo kukulazimu kushindwa kuitumia computer yako vizuri.

Pia Inaweza ikasababisha tatizo la KUHARIBIKA kwa baadhi ya CHIPS ambazo ziko related na BIOS, hivyo unatakiwa uchukue tahadhari hiyo.


USHAURI

USI-UPDATE BIOS ya computer kama majaribio ya kisayansi wakati ndo computer hiyo hiyo inayokuwezesha kuingia complex system na kupeana mawili matatu na wadau.

kama hujui kitu juu ya ku-update BIOS peleka computer kwa mtaalamu wa mambo ya BIOS sio kwa mtu anayeweza kufanya installations za windows 7

Ni hayo ambayo ningependa SHARE nanyi wadau, kama una cha kuongezea itakuwa POUWA...Kama imekusaidia THANKYU :dry: :dry: :whistle: :whistle: :whistle: :whistle: :whistle:

INFORMATION TECHNOLOGY

Catechist Michael Kway September 19 at 9:51pm Mambo vp Wadau, Nilipenda kushare nanyi kitu kuhusu HACKING. :unsure: :unsure: :unsure: Hacking ni Kosa kisheria, ni WIZI/UJAMBAZI ama kiustadi tunasema ni UHALIFU wa MTANDAONI, Njia hizi zinahitaji mtu mwenye uwezo wa kujua CODE na DE-cryption Skills. Huhitaji mda mwingi na kufuatilia attempts zote. PHISHING HACKING TECHNIQUE Kwa hii njia hacker anachukua the same SOURCE CODE of the site na kutengeneza another webpage kama ile alochukua source code na baada ya hapo anaweza ku attempt hacking kwa kum-PROMPT user a-LOGIN kwa site na hapo ndo user anapoingiza Username/Email and Password Kwa hiyo njia watu wengi sana wamekuwa hacked akaunt zao za facebook, emails na hata ma BLOGGER wengi wanakuwa HACKED kwa njia hizi. Phishing website unakuwa kama umeitoa COPY na hapo ndo mtu hujua kuwa it is the same website kumbe hiyo ni FAKE webpage. TUWE MAKINI NA HILI CROSS SITE SCRIPTING (XSS) Maana rahisi ya XSS ni kwamba HACKER anaweza kuchunguza kama SITE anayotaka kuHACK inaWEAKNESS (vulnerability) katika upangaji wa CODES, SCRIPTS na FILES. Akishagundua kuna web application scripts problem basi anawezafanya HACKING ATTEMPT kwa kuingiza CODE zingine kupitia CLIENT software zake kwa site hiyo. Kwa Njia hii HACKER anaweza kwa mfano anaweza kugundua kuna XSS Vulnerabilty kwa YAHOO, basi yeye anachoweza ni ku-inject malicious script kwa YAHOO na hivyo wakati ukiwa UnaRUN website ya YAHOO zile Malware Scripts anazoweza inject ndo zinazoRUN badala ya Site yenyewe. Matokeo yake anaku PROMPT uingize password ambazo ni halali kwa wewe ku LOGIN kwa YAHOO lakini sasa anaSTORE SECRETLY passwords na Login Credentials kwa kutumia COOKIE na hapo baadae anaweza kuLOGIN kama wewe na kupata ACCESS. Hii mara nyingi hupenda kutumia kwa MALIPO ya ONLINE mambo ya PAYPAL na zinginezo, Mitandao ya Kijamii, na pia kwa Email Accounts zozote zile hata za CUSTOM SERVER. ANGALIZO Kama unadeal sana na malipo ya vitu ONLINE kuwa makini ya njia hii wanaibiwa sana watu, makampuni na mashirika kwa kutofahamu MALWARE hawa wanavyofanya. Hakikisha browser yako haina addons usizo zifahamu, hakuna virus-malware kwa computer yako. Na sasa ni muda wa kutumia INTERNET SECURITY VERSION OF ANTISPYWARE/ANTIWARE/ANTIVIRUS. Kama Topic Hii imekusaidia kwa namna yoyote ile THANK

Tuesday, 23 September 2014

SOMA HABARI ZA MCHUNGAJI MTOTO MJINI MOMBASA

From Pastor Bright: READ AND DECLARE TO ARISE TO THE HIGHER LEVEL.
Theme: I WILL ARISE AGAIN!
Do U feel God is no longer at peace with U because of the situation U found yourself? Do U feel your situation is so overwhelming so there is no deliverance? Have U fallen somewhere and U are not able to rise again? Do U know even now, Jesus Christ is ready to lift U up from your situation? Do U know how many times a baby who starts to walk falls but rise again? Will that baby not walk again because he has fallen many times? What will your own child say if he holds your hand and both of you are walking through rough or slippery ground? Won’t he also say, “Daddy/ Mummy hold me now because this ground is slippery”? Do not give up because of the number of times U have fallen. IT IS YOUR TIME TO ARISE AGAIN. Do not remain on where U fall; move from the crawling stage, to the walking stage, to the running stage, and to the flying stage. Do not ask how? The LORD will give U the strength to walk, to run and the wing to fly beyond the obstacle. Isaiah 40:31. It is not by your might nor by your power, but by the spirit of the LORD. Zach 4:6. The LORD expects U from today to arise and shine because your glory who is Jesus Christ has come to intervene in your situation. Is. 60:1. Now, hear what Martha said to Jesus Christ, when the brother Lazarus died and was buried for four days. “Lord, if You had been here, my brother would not have died.” Hear the faith of Martha again, “BUT EVEN NOW I KNOW THAT WHATEVER YOU ASK OF GOD, GOD WILL GIVE YOU.” Jesus said to her “YOUR BROTHER WILL ARISE AGAIN” With Jesus Christ, U will also arise again from today.
DECLARATION: LORD I (your name) from today, anything that has fallen in my life (mention them) I command them to arise again in the mighty name of Jesus Christ!
PRAYER: As U declare, may U receive the strength and the power to arise again and go higher in your life. MAY THE LORD MAKE YOU THE HEAD, NOT THE TAIL in Jesus Christ name!!! Deut.28:13.

Thursday, 10 July 2014
















MICHAEL JOSEPH KWAYU=0763-690-270

Bwana Yesu apewe sifa.
Leo nitaongelea huduma ya uimbaji kanisani.
Nimekuwa katika huduma mbalimbali kwa muda mrefu katika kanisa.
Lakini nimefika mahali nikachaguliwa katika huduma ya kusimamia uimbaji au kuongoza kwaya katika kanisa,hii ndio huduma ambayo inavikwazo vingi sana. Nimegundua kwanini shetani alishindwa mahali hapa kwani kuongoza kundi lisilohitaji kuomba wala kujua neno bali ni kuimba na kutoka au kuimba ndio mwisho ni ngumu sana,wanakwaya wengi au waimbaji wanachofahamu katika kanisa ni kuimba tu wakiimba wako rohoni sana wakimaliza kila jambo wameliacha madhabahuni huku kwingine ni mwili unatenda kazi.
Kwanza huwezi amini kwenye kanisa moja chini ya mchungaji moja kanisa moja bali kwaya kuu na kwaya ndogo hazina mahusiano kabisa zinashindana hazipendani majungu na fitina kama mataifa hiyo ni shida katika kanisa upendo wa kristo katika kwaya haupo kabisa.
Naona kama hivyo ndio huduma basi watakuwa wa kwanza kuhukumiwa maana Mungu anasema mlitumika bali siwatambui itakuwa ni kilio siku ile tena kikuu sana kwa waimbaji,fedha imekuwa ndio miungu yao pamoja na walimu wa kwaya maana kama wengine wanapeleka fedha katika makanisa na huduma mbalimbali waimbaji wanataka fedha kutoka kwa kanisa na washirika ili wafanye mambo yao hii sio injili ya Yesu bali ni ya adui shetani.
Ifike mahali kanisa lipone na liwe kitu kimoja katika huduma zote zinazofanyika kanisani kama nigepewa jukumu la kuchagua basi nisingekubali huduma za uimbaji wa namna hiyo katika makanisa ni bora kuwa na kundi la sifa kuliko kuwa na kwaya zenye mizozo na fitina kanisani,maana hapo hakuna Mungu tena bali shetani anashika nafasi katika kundi hili.
Hili ndio kundi linalorudisha nyuma huduma nyingi sana na ndio kundi linalopewa kipaumbele katika kila jambo kanisani kabla ya huduma yoyote huitwa na kuimba na kusifu ndipo huduma zingine hufuata bali limeingiliwa na adui mbaya kabisa shetani tena ni Yule joka kuu maana anataka kuangamiza kanisa la sasa,Ndugu zangu katika kristo Yesu nilikuwa namsikiliza mchungaji Abiudi akisema kuhusu huduma hii niliona ni kawaida tu lakini baada ya kuingia nimeijua vizuri na nimewagundua hawa waimbaji ndio chanzo kikuu cha kanisa la Mungu kuharibika maana hawafuati kabisa kanuni za Yesu kristo katika huduma hii.
Hivyo kanisa la leo linamzigo mzito sana wa kuomba kwa ajili ya huduma hii ya uimbaji maana ndio chanzo kikuu cha ushirika wa kristo Yesu juu ya kanisa lake na shetani anajua mlango huu maana yeye aliutumikia kabla ya kufukuzwa katika huduma hii hivyo ni vizuri tukaiweka huduma hii ya uimbaji mbele za Bwana kila mara ili kanisa lipate kusonga mbele katika huduma nyingine,nanyi waimbaji ni wakati wenu sasa kurudi katika mstari mnyoofu maana mmekuwa kwazo kwa kanisa kwa ajili ya tabia na mienendo yenu,hata mnafanya kanisa la Mungu kudharauliwa kwa ajili yenu nyinyi ambao mumeandamana na baba yenu iblisi katika kutenda uasi ndani ya kanisa.
Najua kuna watakao kwazwa kwa maneno haya lakini ni bora kukwazwa lakini ukapona kuliko kupotea katika shimo lile la moto wa jehenam maana yeye huja kuu na kuchinja bali kristo alikuja kutafuta aliyepotea ili amrudie Mungu wake apate kuthi ufalme wa mbinguni.
Mungu wa baba yangu Ibrahimu na Yakobo awabariki na muwe na amani ya Kristo mioyoni mwenu.
Ameni.

Wednesday, 19 February 2014

HIZI NDIZO HABARI NDUGU ZITTO KABWE ALIZUSHIWA NA KAMATI KUU YA CHADEMA

Nyaraka hii imechomolewa kwa siri toka Chadema makao makuu RIPOTI YA SIRI JUU YA ZITTO KABWE KWA CHADEMA UCHUNGUZI WA MWENENDO WA KISIASA WA ZITTO Z. KABWE NDANI NA NJE YA CHADEMA. UTANGULIZI: Tangu mwaka 2008 mwenendo wa kisiasa wa Zitto Zuber Kabwe ulianza kutiliwa shaka na wanachama wa CHADEMA ndani na nje ya chama, Hili lilipelekea kuibuka maneno ya chini kwa chini kuwa anakisaliti chama. Hilo liliilazimu timu ya kijasusi ya chama kuanza kufuatilia nyendo zake kwa ukaribu zaidi usiku na mchana ili kujiridhisha pasipo kuacha chembe ya mashaka. Ifahamike kuwa chama kina idara ya ulinzi na usalama wa chama na viongozi wake yenye uwezo wa kufuatilia nyendo za majasusi wa nje na viongozi na wanachama wake popote walipo kwa masaa 24. Baada ya kujiridhisha kuwa mwenendo wake ni wa mashaka, bila kusita timu ya ujasusi ilianza kazi rasmi ya ujasusi dhidi ya nyendo zote za Zitto Zuberi Kabwe MAMBO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI DHIDI YA ZITTO KABWE. Kumfuatilia yeye binafsi nyendo zake. Kufuatilia mawasiliano yake ya simu. Kufuatilia mawasiliano yake ya barua pepe. Kufuatilia pato lake nje ya kazi zake halali za kibunge. SEHEMU YA KWANZA 2008 Chombo chetu cha ujasusi tulichokipandikiza kwa siri katika nyendo zote za Zitto Kabwe na ndani ya vikao vya mwanzo kabisa vya Zitto na viongozi serikalini, nahata vile vikao muhimu vya idara ya ujasusi ya chama cha mapinduzi (ccm), kinatupa fursa ya kuweka msingi wa kuimarisha chama cha CHADEMA na kutenda haki kidemokrasia kwa maslahi ya chama na Taifa kwa ujumla: Mnamo Jumatatu ya tarehe 16/6/2008 saa 09:46 asubuhi, Mh Zitto Kabwe kupitia simu yake ya kiganjani namba +255754787550 alipokea simu kutoka kwa Ramadhani Ighondu mwenye namba +255717760473 ambaye ni afisa Usalama wa Taifa anayefanya kazi ikulu hivi sasa. Alijitambulisha kuwa yeye ni Usalama wa Taifa ametumwa na mkuu wake wa kazi aje aongee na Zitto, Maelezo ya msingi katika simu hii ilikuwa ni bwana Ramadhani Ighondu kuomba miadi ya kuonana kutokana na agizo la mkuu wake wa kazi. Siku sita baadae yaani Jumatatu ya tarehe 23/6/2008 saa 07:52 asubuhi, Zitto alipigiwa tena simu na Ramadhani Ighondu akimkumbusha maongezi yao waliyo fanya siku 6 zilizopita na kumuomba siku hiyo jioni waonane, ingawa Zitto alionekana kusita kidogo lakini baadae alikubali, Walikubaliana wakutane Sea Cliff Hotel, ilipofika jioni ya siku hiyo Zitto akiwa na marafiki zake wawili Omar Lyasa na Abdalah Said walifika Sea Cliff Hotel wakaketi na kuagiza vinywaji, Baada ya kama dakika kumi hivi Zitto alipokea simu ikimuelekeza alipo bwana Ramadhani Ighondu kisha Zitto akawaambia marafiki zake wamsubiri kidogo, akaondoka kuelekea aliko elekezwa….. Mashariki mwa lango kuu la kuingilia Sea Cliff Hotel mita kama tatu tu kuna mlango mdogo unaoelekea kwenye vyumba maalumu (VIP), chumba namba 8 ndicho Zitto alichokuwa anaelekezwa kwa simu kuingia, chumba hiki kina meza moja na sofa zilizo zunguka meza ile zenye uwezo wakukaliwa na watu watano hadi sita, Ndani ya chumba kile Zitto anakutana na watu watatu ambao ni Steven Wasira, Ramadhani Ighondu na Abdalla Punja (hawa wote ni TISS) Mazungumzo yao ndani ya chumba hiki yalianza maramoja, akianza Mr Ighondu kueleza sababu za wao kumuita Zitto, kikubwa ilikuwa ni “bwana Zitto, serikali (ikulu) inakutaka uache kuibana na kuishurutisha hasa kwa hili suala la Buzwagi”. Tunaomba kujua shida yako kubwa ni nini?” Ighondu alihoji, Katika majibu yake Zitto anajibu, “Mimi napigania haki za watanzania, nimechaguliwa na wanakigoma na watanzania wameniamini ni wawakilishe hivyo”, Lakini mashambulizi ya ushawishi yalipozidi Zitto alilegeza msimamo wake. Katika kikao hiki kilichochukua masaa mawili, Zitto anaonekana kusita sana na anaomba apewe muda akafikirie aliyoitiwa, wote wanaafiki na kukubali ombi la Zitto na kikao kinaahirishwa. Siku tatu tu baada ya kikao cha Hotel ya Sea Cliff, yaani tarehe 27/6/2008 Zitto anakutana na Naibu Mkurugenzi wa TISS Ndugu Jack Zoka jijini Arusha, hiki sio kikao chao maalumu bali wamekutana kwa mara ya kwanza wote wakiwa kwenye shughuli za kitaifa, Katika mazungumzo yao wanaonekana ni watu wanaofahamiana japo si kwa undani, Baada ya maongezi ya dakika kadhaa wakiwa wamesimama, Mr Zoka alimuuliza “Vipi vijana wangu walikupa ujumbe, umefikia wapi?” Zitto aliitikia kwa kucheka na kusema “yap nipo tayari, lakini nihakikishieni usalama wangu” Katika maongezi haya, Zoka anasikika akisema “Ondoa shaka” Kisha Mr Zoka anamuagiza Zitto kuwa kesho kutwa yake aende kwa Charles Kimei (Mkurugenzi CRDB Benki) pale Makao makuu, atayakuta maagizo yake huko. Tarehe 30/6/2008 majira ya saa 12:22 za alasiri, Zitto akiwa ameongozana na kijana mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Rajabu Abdala anaingia eneo la CRDB Benki mtaa wa Azikiwe, na kwenda moja kwamoja kuonana na Bw Kimei, baada ya salamu haikuchukua muda mrefu, Zitto akapelekwa katika moja ya vyumba maalumu vya bank hiyo kwenye jengo hilohilo la Azikiwe, baada ya kufika katika chumba hicho Zitto alihamaki kuwakuta watu wawili katika chumba hicho, mmoja alikuwa ni mfanyakazi wa bank hiyo aliyetambuliwa kwa jina laMaselina K. Kombe na mwingine hakuwa mgeni machoni mwa Zitto, alikuwa ni Ramadhani Ighondu yule wa TISS waliyekuwa naye kwenye kikao cha awali kule Sea Cliff Hotel wiki chache zilizopita, Zitto alikabidhiwa Briefcase nyekundu iliyokuwa imesheheni pesa halali za kitanzania kiasi cha Shilingi milioni 250. Wakati hayo yakitendeka yule kijana aliyekuja na Zitto alikuwa kwenye gari aina ya Toyota Mark 11 No T 134 AAB yenye rangi nyeupe na vioo vyeusi (Tinted). Baada ya makabidhiano yaliyochukua kama dakika 10 tu, Mr Ighondu alimwambia Zitto, “tunataka utulivu, mengi mazuri yanakuja utafurahia kijana,” Na kisha Zitto akatoka na begi lake (Briefcase) na kuingia nalo katiga gari ile na kutokomea. Uchunguzi umeonyesha kuwa pesa ile aliyokabidhiwa ndugu Zitto, ilitoka katika akaunti Namba 0J56708968923 yenye jina la Shani Maya, ambapo inaonyesha kuwa akaunti hii ilifunguliwa CRDB tawi la azikiwe tarehe 25/6/2008 saa 10:14 asubuhi, kisha tarehe 27/6/2008 iliingizwa kiasi cha pesa za kitanzania milioni 400. Na tarehe 30/6/2008 pesa hizo zilitolewa zote na akaunti hii ilifungwa. Madhumuni ya pesa hii kutoka CRDB kwenda kwa Zitto yanathibitishwa na kikao cha 23/6/2008 pale Hotel ya Sea Cliff kuwa ni kupunguza kasi ya Zitto kuibana serikali hasa anapo kuwa bungeni. Na kweli kasi yake iliyozoeleka kwenye kuibana serikali akiwa bungeni ikapungua na kuweka msingi wa ujenzi wa mashaka juu ya mwenendo wake wa kibunge. SEHEMU YA PILI 2009 Mnamo Jumatatu ya tarehe 30/11/2009 saa 04:30 asuhuhi wakati wa maandalizi ya uchaguzi wa mkuu wa 2010, idara ya ujasusi ya ccm ilikutana kwa siri pale Moven Pick/SERENA Hotel, ndani ya idara hii wakiwamo Jack Zoka, Wilson Mkama, Kingunge Ngombale Mwiru, Jakaya Kikwete, Nape Nnauye, Fred Kimati, Steven Wasira, Ramadhani Ighondu, Martin Palakyo, Mwigulu Nchemba, Ahamed Msangi na Abdalla Punja. Katika kikao hiki yalijadiliwa mengi sana, lakini kubwa lilikuwa nikukabiliana na vyama vya upinzani hususani CHADEMA, zilipangwa mbinu nyingi sana juu ya Chadema, Mbinu hizo ni kama ifuatavyo: Kuwanunua wagombea ubunge na Udiwani (Mtakumbuka wagombea wetu kadhaa walikuja kununuliwa na chama kina ushahidi kwenye hili). Kuwanunua VIONGOZI wajuu wa CHADEMA. Kutumia TISS kutisha wagombea na wanachama wa Chadema (Hii ilikuwa ni kuwakamata au kuvuruga mikutano). Kuwaua baadhi ya wafuasi wa Chadema, viongozi wa Chadema na wabunge. Lakini walitilia mkazo zaidi njia ya kwanza ,ya pili na ya tatu ambapo kikao kilijiridhisha kuwa mmoja wa VIONGOZI wa Chadema ambae ni Zitto Kabwe ni mtu wao ambaye wamesha anza kumtumia, kikubwa liandaliwe fungu tu kwa ajili yakuanza mikakati yao, Waliafikiana mambo mengi kwaajili ya uchaguzi wa mwaka ambao ungefuata, na wakakubaliana mambo kadhaa ambayo walimuagiza Mr Zoka akamwambie Zitto nini cha kufanya ili kupunguza nguvu ya upinzani. Kwa upande wake Zoka alikiambia kikao kuwa Zitto amemthibitishia kuwa yeye anawafuasi wakutosha ndani ya chama ambapo watamuunga mkono kwa lolote hivyo kikubwa ni pesa tu. Lakini kwanza kikao hicho kilimtaka Mr Zoka amwambie Zitto kuwa taarifa zote zinazoihusu Chadema na za kila vikao vya ndani vya chama zinatakiwa pia ziifikie timu hiyo ya kijasusi ya ccm, pili walitaka Zitto apunguze ushiriki katika majukwaa ya chama na shughuli nyingine za chama. Baada ya kikao sasa ulikuwa ni utekelezwaji wa maadhimio yao. Zoezi la kikao cha tarehe 30/11/2009 linaonyesha kuzaa matunda hasa baada ya kubainika mawasiliano ya karibu sana kati ya Zitto na Jack Zoka, Kwamfano: Jumamosi ya tarehe 6/12/2009 saa 03:43 asubuhi Zoka kupitia namba yake ya simu +255756809535 alimpigia simu Zitto kupitia simu yake ya kiganjani ambayo ni +255754787550, wakati wa mawasiliano yao haya ya simu Zitto alikuwa Tabata na maongezi yao yalihusu kikao cha 30/11/2009 na kile walichoamua timu ya kijasusi ya chama (ccm) na matakwa yao kwa Zitto. Ndani ya maongezi yao yaliyochukua dakika 68, Zitto anasema, “Mr kazi hii ni nzito, vipi mmeongeza hela? Isije kuwa kama ile ya mwaka jana.” Anajibiwa na Zoka kuwa “ondoa shaka una dili na Jamhuri, hela sio tatizo” Lakini zaidi Zitto anamshauri bwana Zoka kuwa utaratibu wa uchukuaji wa pesa ubadilike, “Mr Jack ile staili ya uchukuaji pesa kule CRDB mwaka jana ilinitisha kidogo halafu hii isije ikabumburuka vyombo vya habari vipo makini kweli sasa hivi” Anajibiwa na Bwana Zoka kuwa “Tunazo njia nyingi sana ambazo si TAKUKURU wala polisi wanaoweza kubaini, tusikilize sisi, tutakacho kuambia ujue ni salama, Haya Mr (Zitto) wewe unayajua mazingira vizuri katika nchi moja ya Ulaya?, au unaweza kutafuta mtu unae mwamini huko ili atumiwe yeye hiyo pesa na awe wa kuaminika ili tumtumie kwa vipindi hivi vyote, kisha uifuate huko au uangalie mwenyewe njia sahihi ya kuichukua huko” Suala la kumpata mtu Ulaya lilionekana kama zito kidogo kwa Zitto, kwani aliomba wawasiliane kesho yake ili awe na jibu la uhakika. Tarehe hiyo hiyo 6/12/2009 ya Jumamosi saaa 23:05 usiku, Zitto kupitia simu yake ya mkononi namba +255754787550, alipiga namba +4915739444853, kimaongezi walionekana ni watu wanafahamiana sana, alikuwa anaongea na mwanamke ,waliongea mengi lakini kubwa lilikuwa ni Zitto kuomba kupitisha hela yake kwenye akaunti ya huyu mtu. Mwanamke huyu alihoji kama pesa hiyo ni nyingi na haina madhara? Lakini alijbiwa sio nyingi na haina madhara kwakuwa inatoka serikalini na chama tawala, Mwanamke huyo alizidi kuhoji zaidi, “sasa vyombo vya dola vya hapa Berlin vikinihoji nitasema nimepata wapi?” Anajibiwa kuwa “Darling huniamini? Nimesoma na wewe na nimefanya kazi na wewe, lakini huniamini? Utasema umelipwa nchini Tanzania kwa kazi yako”, kisha katika maongezi ya hapa na pale dada akakubali na baada ya dakika kumi akamtumia akaunti namba 033B 33093101 Berliner Bank German. Baada ya kuipata akaunti hii Zitto hakuchelewa, akaipeleka kwa Mr Zoka kwa njia ya ujumbe wa maandishi (sms), baada ya dakika 5, Zoka akampigia simu Zitto kupitia namba +255756809535 nae Zitto akapokea kupitia namba +255754787550, na mazungumzo yao yaliyochukua dakika 6 yakaendelea, Zoka aliuliza swali kuwa “Mwenye akaunti hiyo huko Ujerumani unamwamini na unamjua vema?” Majibu ya Zitto yalikuwa “Ondoa shaka Mr Jack nafanya kazi ya hatari na wewe , siwezi kukuangusha au kujiangamiza, huyu mtu nimesoma nae na ninamfahamu in and out” Zoka akajibu “ok”. Jumatano ya tarehe 16/12/2009 majira ya saa 13:12 za mchana kwa Ujerumani akaunti namba 033B 33093101 Berliner Bank, ziliingizwa dola za kimarekani 266,000 pesa hizi katika uchunguzi zimebainika kuwa zilitoka Tanzania katika Benki ya NMB tawi la NMB House jiji Dar katika akaunti namba 2231604658 yenye jina la TSA, hii ni moja ya akaunti za siri za TISS, ambapo wao ndio huzisimamia akaunti zao zote kwa kutumia mawakala (TISS) walio ndani ya benki hiyo. Kujiridhisha kuwa pesa hiyo ilifika Ujerumani, kunabainishwa na mawasiliano ya barua pepe kati ya Zitto Kabwe na yule mwanamke wa kijerumani aliyemtumia akaunti ya benki, anafahamika kwa jina la Andrea Cordes, mawasiliano yaliyofanywa tarehe 17 alhamisi saa 20:34 usiku ambapo Andrea kupitia barua pepe yake aco...@gmail.com anamwandikia Zitto kupitia barua pepe ya Zitto iitwayozitto...@gmail.com , Andea anasema “Hey sweet, mzigo yako imefika, can we talk?” Ujumbe huu unajibiwa na Zitto saa 21:03 usiku huo kwakusema, “I’m so sorry my darling, nimechelewa kukujibu, I will call you soon” Saa 23:23 Zitto Kabwe kupitia simu yake ya kiganjani namba +255754787550, alimpiga Andrea Codes kupitia namba +4915739444853, akimweleza kuwa anashukuru kwa mzigo kumfikia, lakini anataka kumpa utaratibu wa kuichukua hiyo pesa, ambapo alimweleza kuwa atakuwa anaichukua kidogo kidogo kila mwezi kwa njia ya Western Union kuanzia dola 20,000 hadi dola 50,000, wakati huo Andea Codes atakula kamisheni ya dola 25,000. Uchunguzi wa ndani umebaini pesa hiyo ilitumwa kwa Zitto ndani ya miezi 8 kwa vipindi tofauti kupitia Western Union kama alivyoomba, na alikuwa anachukulia maeneo tofauti tofauti hapa jijini Dar, vilevile uchunguzi umebaini kuwa mwanamke huyu ni Mjerumani aliyewahi kuishi Tanzania na amezaa mtoto mmoja hapa Tanzania, Mwanamke huyu anaitwa Andrea Cordes, anaishi Mechernich Ujerumani, mtaa namba 134, nyumba namba 141, anafanya kazi UN Women Nationales Komitee Deutschland e.V. Shirika ambalo shughuli zake huendeshea pia Tanzania. Katika uchunguzi zaidi imebainika kuwa akaunti aliyomtumia Zitto ni ya kwake binafsi, katika ushahidi tuliobaini kupitia benki iitwayo Berliner Bank yenye Code No Hardenbergstraße 32, 10623 iliyopo mjini Berlin nchini Ujerumani. SEHEMU YA TATU 2010 Uhusiano usio wa kawaida na wa karibu wa Zitto na viongozi wa ccm, serikali na wale wa Usalama wa Taifa uliendelea kushamiri hasa kipindi cha kampeni na kipindi cha uchaguzi mkuu wa 2010, Mfano tarehe 7/9/2010 siku ya jumanne saa 11:21 asubuhi, Ahmed Msangi kupitia namba yake ya simu ya kiganjani +255784277884, alimpigia Zitto kupitia simu ya kiganjani namba +255754787550 waliongea mambo mengi japo kwa muda mfupi, na jambo kubwa lilikuwa ni “vipi kuna kipya ndani ya Chadema?” Zitto alijibu “yapo mengi lakini hayana impact kwa ccm” Msangi anajibu “Ok mr nikutakie siku njema” Lakini mawasiliano ya simu yaliyochukua mda mrefu zaidi yalikuwa kati ya Zitto na Zoka yaliyofanywa tarehe 10/9/2010 siku ya ijumaa saa 07:04 jioni na mazungumzo yao yalichukua dakika 71, Mazungumzo haya yalifanywa wakati huo Zitto akiwa katika hoteli ya Blue Pearl Ubungo, Mr Zoka alitaka kujua mambo kadhaa kuelekea Uchaguzi mkuu, kwanza alimuuliza “Mr Zitto umejiandaaje, una timu ya kazi?” Zitto akajibu “nipo fiti kiakili na kimwili na nina timu ya kutosha, ondoa shaka juu yangu, kama ipo hiyo hela tumeni tu Ujerumani kwenye ile akaunti, na ningeomba kukutana na mwenyeti wenu (rais JK)” Zoka lijibu “hilo halina tabu nitalifikisha sehemu husika bwana Zitto”, Uchunguzi umebainisha kuwa akaunti namba 033B 33093101 Berliner Bank ya German iliendelea kuingizwa pesa kwa nyakati tofauti kutoka Tanzania kupitia NMB akaunti namba 2231604658 yenye jina la TSA ambayo ni moja ya akaunti za siri za TISS. Mfano: tarehe 29/9/2010 siku ya juma tano, kiasi cha dola 250,000 kiliingizwa kwenye akaunti hii 033B 33093101 ya Ujerumani, kutoka akaunti namba 2231604658 NMB Tanzania, Tarehe 06/01/2011 siku ya alhamisi, kiasi cha dola 240,000 kiliingizwa kwenye akaunti hii 033B 33093101 ya Ujerumani, kutoka akaunti namba 2231604658 NMB Tanzania, Tarehe 21/6/2011 siku ya jumanne, kiasi cha dola 240,000 kiliingizwa kwenye akaunti hii 033B 33093101 ya Ujerumani, kutoka akaunti namba 2231604658 NMB Tanzania, Tarehe 09/12/2011 siku ya ijumaa, kiasi cha dola 255,000 kiliingizwa kwenye akaunti hii 033B 33093101 ya Ujerumani, kutoka akaunti namba 2231604658 NMB Tanzania, Tarehe 02/02/2012 siku ya alhamisi, kiasi cha dola 260,000 kiliingizwa kwenye akaunti hii 033B 33093101 ya Ujerumani, kutoka akaunti namba 2231604658 NMB Tanzania, Tarehe 14/05/2012 siku ya jumatatu, kiasi cha dola 250,000 kiliingizwa kwenye akati hii 033B 33093101 ya Ujerumani, kutoka akaunti namba 2231604658 NMB Tanzania, Tarehe 13/12/2012 siku ya alhamisi, kiasi cha dola 255,000 kiliingizwa kwenye akati hii 033B 33093101 ya Ujerumani, kutoka akaunti namba 2231604658 NMB Tanzania, Uchunguzi umebainisha kuwa pesa zote zilimfikia Zitto kwa njia ya Western Union akitumiwa dola 50,000 mpaka dola 20,000 kati ya wiki mbili mpaka mwezi mmoja. SEHEMU NNE: MATUMIZI YA PESA HIYO Uchunguzi umezidi kubaini kuwa kuanzia mwanzoni mwa mwaka 2011, kutoka kuugwa mkono na wanachadema kama mwanasiasa makini, Zitto aliamua kuunda kundi la uasi ndani ya chama. Baadhi ya waliounda kundi hili ni: Zitto Z. Kabwe +255754787550/756809535/713730256 Juliana Shonza +255714669850/756359073 Habib Mchange +255762178678 Mtela Mwampamba +255718037358/755178927 Gwakisa Burton +255713316790 Eddo Makata +255757149043/655148758 Greyson Nyakarungu +255755023503 Adams Chagulani +255767137831 Deogratius Kisandu +255655025609 John M. Shibuda +255754465597 Kitila Mkumbo +255754301908 Exaud Mamuya +255767160685 Ben Saanane +255768078523 Timu ya upelelezi imebaini kuwa kundi hili lilikuwa linapokea fedha kutoka kwa Zitto kwa njia ya M-Pesa, Uchunguzi umebaini kuwa kuanzia 2011 kundi hili lilianza kutumiwa pesa na Zitto kwa njia ya M-Pesa kila mwezi, ambapo kila mwanakundi alikuwa akipokea kati ya 150,000/= mpaka 200,000/= , na ilipofika mwishoni mwa mwaka 2012 kundi hili sasa likawa linalipwa karibu kwa wiki, Takwimu za malipo ya wafuasi wa kundi hili kutoka kwa Zitto kwa mwaka 2012 zinaonyesha walilipwa kwa njia ya M-PESA No+255756809535 hii ni namba mojawapo ya Zitto Zuberi Kabwe: Tarehe 25/2/2012 saa 10:09 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia +255756809535 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa kundi lake, Juliana Shonza +255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba +255755178927, Gwakisa Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043, Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609, Adams Chagulani +255767137831, Exaud Mamuya +255767160685, Ben Saanane +255768078523, Baada ya hapo saa 10:32 asubuhi hiyohiyo Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu +255756809535 aliwatumia shilingi 200,000/= Mkumbo Kitila +255754301908 na John Shibuda +255754465597 Tarehe 26/3/2012 saa 11:12 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu +255756809535 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa kundi lake, Juliana Shonza +255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba +255755178927, Gwakisa Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043, Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609, Adams Chagulani +255767137831, Exaud Mamuya +255767160685, Ben Saanane +255768078523, Baada ya hapo saa 11:43 asubuhi hiyohiyo Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu +255756809535 aliwatumia shilingi 200,000/= Mkumbo Kitila +255754301908 na John Shibuda +255754465597 Tarehe 20/4/2012 saa 09:11 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu +255756809535 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa kundi lake, Juliana Shonza +255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba +255755178927, Gwakisa Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043, Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609, Adams Chagulani +255767137831, Exaud Mamuya +255767160685, Ben Saanane +255768078523, Baada ya hapo saa 10:30 asubuhi hiyohiyo Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu +255756809535 aliwatumia shilingi 200,000/= Mkumbo Kitila +255754301908 na John Shibuda +255754465597 Tarehe 22/5/2012 saa 10:15 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu +255756809535 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa kundi lake, Juliana Shonza +255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba +255755178927, Gwakisa Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043, Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609, Adams Chagulani +255767137831, Exaud Mamuya +255767160685, Ben Saanane +255768078523, Baada ya hapo saa 11:02 asubuhi hiyohiyo Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu +255756809535 aliwatumia shilingi 200,000/= Mkumbo Kitila +255754301908 na John Shibuda +255754465597 Tarehe 28/6/2012 saa 13:51 mchana, John M. Shibuda kupitia namba yake ya simu +255754465597 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wenzake, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba +255755178927, Gwakisa Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043, Deogratius Kisandu +255655025609, Adams Chagulani +255767137831, Exaud Mamuya +255767160685, Ben Saanane +255768078523, Greyson Nyakarungu +255755023503, Juliana Shonza +255756359073, Baada ya Shibuda kuwalipa 28/6/2012 saa 13:51 mchana, sasa Zitto alibadili mfumo wa malipo ukawa wa TIGO PESA +255713730256 lakini viwango vilevile na mtiririko ulele. Tarehe 22/7/2012 saa 08:17 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu +255713730256 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa kundi lake, Ben Saanane +255768078523, Adams Chagulani +255767137831, Juliana Shonza +255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba +255755178927, Gwakisa Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043, Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609, Exaud Mamuya +255767160685, Kisha saa 09:38 asubuhi hiyohiyo Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu +255713730256 aliwatumia shilingi 200,000/= Mkumbo Kitila +255754301908 na John Shibuda +255754465597 Tarehe 24/8/2012 saa 09:06 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia ++255713730256 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa kundi lake, Ben Saanane +255768078523, Adams Chagulani +255767137831,Juliana Shonza +255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba +255755178927, Gwakisa Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043, Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609, Exaud Mamuya +255767160685, Kisha saa 09:23 asubuhi hiyohiyo Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu +255756809535 aliwatumia shilingi 200,000/= Mkumbo Kitila +255754301908 na John Shibuda +255754465597 Tarehe 02/09/2012 saa 09:52 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia +255713730256 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa kundi lake, Ben Saanane +255768078523, Adams Chagulani +255767137831, Juliana Shonza +255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba +255755178927, Gwakisa Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043, Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609, Exaud Mamuya +255767160685, Kisha saa 10:43 asubuhi hiyohiyo Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu +255713730256 aliwatumia shilingi 200,000/= Mkumbo Kitila +255754301908 na John Shibuda +255754465597 Tarehe 20/09/2012 saa 10:19 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia +255713730256 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa kundi lake, Ben Saanane +255768078523, Adams Chagulani +255767137831, Juliana Shonza +255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba +255755178927, Gwakisa Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043, Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609, Exaud Mamuya +255767160685, Baada ya hapo saa 10:53 asubuhi hiyohiyo Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu +255713730256 aliwatumia shilingi 200,000/= Mkumbo Kitila +255754301908 na John Shibuda +255754465597 Tarehe 24/10/2012 saa 11:18 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia +255713730256 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa kundi lake, Ben Saanane +255768078523, Adams Chagulani +255767137831, Juliana Shonza +255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba +255755178927, Gwakisa Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043, Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609, Exaud Mamuya +255767160685, Kisha saa 11:52 asubuhi hiyohiyo Zitto Kabw ... Show trimmed content

Wednesday, 29 January 2014

MICHAEL KWAYU.BLOGSPOT.COM.HABARI MPYA

Nape Nauye na AbdulRahman Kinana (Viongozi wa CCM) wanasema kuna
mawaziri mizigo, Lipumba wa CUF anasema “Mawaziri mizigo ni matokeo ya
rais mzigo, na Rais mzigo ni matokeo ya chama mzigo, watanzania tuitue
mizigo yote hii mwaka 2015(Mawaziri mizigo, Rais Mzigo na chama mzigo)",


Maneno hayo hapo juu yamesemwa na Prof. Ibrahim Haruna Lipumba - Mwenyekiti wa CUF Taifa, 26 Januari 2014.

Kuna watu wanaitetea Serikali ya CCM wakati viongozi wa CCM wenyewe wanailipua hadharani, Raisi
wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM amesafiri kwenda nje ya nchi safari ya
358 tangu aingie madarakani mwaka 2005, ametumia miaka miwili akisafiri
kama “VASCO DAGAMA”, Yule mvumbuzi wa kigeni. Mwaka huu wa fedha peke
yake tayari Rais ameshatumia bajeti yote ya safari za nje wakati bado
miezi 6 imebakia ili akamilishe bajeti ya mwaka.
Nakisi ya bajeti ya
Serikali ya Tanzania imetoka shilingi bilioni 389 mwaka 2007 hadi
shilingi bilioni 3000 sawa na trilioni 3 mwaka 2012.

DENI LA
TAIFA limetoka shilingi trilioni 5.9 mwaka 2007 hadi shilingi trilioni
22 mwaka 2012, MKAPA alitumia kipindi chake chote cha uongozi kulipa
madeni yaliyokuwa yameshindikana na JK anatumia kipindi chake chote cha
uongozi kukopa zaidi na kutumia zaidi ili Rais ajaye awe na kazi ya
kulipa madeni miaka 10..... Haya ndiyo matokeo ya MAWAZIRI MIZIGO, RAIS
MZIGO na SERIKALI MZIGO.

Eti mashabiki wa CCM wa kufa na kupona
ambao hamtafakari mnataka kutulazimisha tuamini haya yote yanatokea kwa
bahati mbaya...Nape na Kinana wako sawasawa, na ni viongozi wa CCM,
Lipumba yuko sawa zaidi, yeye anasema tatizo ni kubwa zaidi, siyo tu
mawaziri ni mzigo, bali ni rais na chama chake...Tupingane kwa hoja na
data!