Monday, 26 October 2015

Newala.Vurugu zilitawala jimbo la Newala mjini hapo jana baada ya mgombea ubunge CUF,Juma Manguya kudai njama zimefanywa ikiwa ni pamoja na kuwarubuni mawakala wa chama chake kuchakachua matokeo kwa lengo la kumpa ushindi mgombea wa CCM. Hata hivyo wananchi walikusanyika ofisi za manispaa kushinikiza matokeo hayo yatangazwe vilionekana vifaru na magari ya jeshi yakipita eneo hilo mara kwa mara huku wananchi wakiendelea na hitaji lao. Shaibu Sele anasema "Sisi tumepiga kura na katika vituo vingi tulikuwa tunaongoza kwa kura za kuaminika lakini matokeo yanacheleweshwa kwanini kama sio njama za hujuma,"alisema Sele Naye Salma Dadi anasema "Kilichofanyika ndani ya jimbo la Newala lina kata 16 na Ccm wamechukua kata tano pekee katika madiwani hao na mbunge wetu tulimpigia kura lakini cha kushangaza inaonekana sasa hivi wanasema mshindi ni mbunge wa CCM hatutaki tunahitaji matokeo yetu ya halali tunamtama mbunge wetu Manguya tumechoka udikteta wa Mkuchika,"anasema Dadi Naye mgombea wa CUF Maguya alieleza njama hizo na kutokukubaliana na matokeo. "Kinachoendelea hapa ni suala la kutokufuata uchaguzi huru,asubuhi matokeo yalikuwa yanaonyesha tulikuwa tunaongoza kwa zaidi ya kata 15 kwa nafasi ya ubunge na udiwani lakini baada ya matokeo kufikishwa ofisi ya kata kura zimeongezwa na zinaonekana kuwa tofauti na zilizopigwa tarehe 25 kwasababu baada ya kuletwa ofisi ya kata zinaonyesha mpinzani wangu amenizidi kwa kura 92,"alisema Manguya Akitangaza matokeo mkurugenzi wa Newala mjini, Gimba Mtavyo alisema mgombea wa Cuf amepata kura 18,261,CCM kura 18,817 na kumtangaza George Mkuchika (CCM) kuwa mshindi na kuwa nafasi za udiwani CCM imeshinda kata 5 na CUF kata 11. Mwisho...................